Kwanini kwenye mahusiano watu wanaishi kwa wasiwasi

Woooooow[emoji54] [emoji54] [emoji54]
Words of wisdom and prudence

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lesson learnt

Tuipende nchi yetu Tanzania.
Sure mkuu ,, unajua sisi wanaume bana ,ikiwa tutajifunza kua " Shujaa" kwa mwanamke ,,,, haijalishi umekua shujaa kabla hamjawa wapenzi au umekua shujaa wake mkiwa wapenzi ,,aiseee utafurahia sana mahusiano ......Mara nyingine wanawake niwatu ambao wanategemea sana mwanamme kuwaongoza na kumshape na kumfanya kua anayekufaa sawasawa na mapenzi yako
,, Sasa ikitokea unashindwa kua shujaa kwake ,,unashindwa kumuongoza maisha yanakuaga mabaya sana.

Unaweza pata mwanamke mnywaji pombe ,, lkn ukampa mapenzi ukawa muongozaji sahihi ,,aiseee uyu ukimwambia acha pombe ataacha tuuuu,, tulia tabia mbaya sipendi atatulia tuuuuuu sababu umempa mazingira yakujiona sahihi ,mweny bahat na alobarikiwa .

Lkn akikukuta naww hujali ,,aahhhh km nipombe ataendelea kunywa ,,km nikuchepuka ataendelea tuu...

So akili ya mwanamke huwa sawa na akili ya mtoto mdogo , niww mwenyewe wa kumfanya awe mtoto mwema au mbaya .

Wee ,jiulize ,, mwanamke unaweza mpaka kila hitaji lake sawasawa kuanzia mapenzi na huduma ,, LAKIN wakat unazitoa hizo huduma ,,huishi kulalama ,,oohhhhh mwanamke nakutunza km mtoto ,,oohhhh mwanamke twgemezi sanaa,, oohhhh naww uwe unanipa sawa na navyokujali ,,, hizi mambo aiseeee Mara nyingi sasa humkwaza mwanamke kuliko hata ambavyo ungwmnyima pesa zako.

Kwaufupi tujifunzw kupenda toka moyoni ,,,,Hata km unajua huyu mwanamke katendwa na anashida,, you jus be a gent ,, muhudumie mpe hitaji lake mpe msaada anaoitaji ,,, hata km hujawah mtongoza ,, aiseee utashangaaga mwenyewe anakuambia naitaji tukutane hotel[emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji9] [emoji40] .



Mwaka 2013,niliwah kutana na Mdada usiku , anashida muda wa saa tano ivi ,, basi ,shida ilikua nikufika Mbagala kaibiwa kila kitu alikua mchaga ... Basi nikamchukulia Tax nikamlipia akanipa mawasiliano ,nikaenda zangu Sinza ,...huyu mwanamke sasa ivi keshaolewa , sijawahi mtongoza , nakazaa tayar ,,lkn kila siku huniambia lazima azae namm... Anakuja dar huku lkn Mimi ndo namchenga nawala sitaki kukutana Naye sababu nimke wamtu.

Mwanamke ukimuishi sawa tuu utafurahia ,awe nimchumba,,mke,, mpenzi.
 
Daaah aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoshangaza utakuta Mwanamke katendwa na Mwanaume mmoja, sasa anapata hasira analaumu wanaume wote duniani anasema "Wanaume wote wabaya"...
Sidhani kama huwa wanakuwa wametendwa na mwanaume mmoja tu.
 
Maneno mazuri sana haya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…