Kama ni hivyo hakuna haja ya kualikwa hao viongozi. Tutawaombea viongozi wa serikali kwenye nyumba zetu za ibada inatosha kabisa.kwahiyo ulitaka wakamuumbue hangaya hadharani kwa kigezo cha sala ama? watawala wengi ni wapuuzi sana na wana mafigisu kibao kuachilia mambo yafanyike tu ni balaa anaweza akajitokeza kiongozi anajiita wa dini ila akachafua hali ya hewa na ikumbukwe kwenye sala hamna wakukuzuia hadi umalize .
Maombi na sala nzuri ni zile tunazowaombea kwenye nyumba zetu za ibada. Huko kwenye matukio ni kuonesha tu kuwa wanawashirikisha.Ninavyoona mimi;
Ni ili wasijisahau wakaanza kuhubiri na 'kunena kwa lugha'
Na pia kupangilia muda vizuri(pacing) kwa sababu ni rahisi zaidi mtu kuwasilisha hotuba kwa muda mfupi, ikiwa amepewa maneno machache,
kuliko kutengewa muda halafu abuni maneno yake mwenyewe, atazidisha muda
kuna posho ndefu utaenda tu kaka ukigoma anand mwingineKama ni hivyo hakuna haja ya kualikwa hao viongozi. Tutawaombea viongozi wa serikali kwenye nyumba zetu za ibada inatosha kabisa.