Kwanini kwenye nyumba zetu mlango ya jikoni ndiyo inatumika

Kwanini kwenye nyumba zetu mlango ya jikoni ndiyo inatumika

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Nime experience hii nyumba zetu nyingi sana huwa milango ya jikoni ndiyo inatumika watu kuingilia. Ni nadra sana front doors ikatumika. Sababu ni nini?
 
jikoni ndo kwenye activity kwenye nyumba, jikoni au sitting room. watu wapo mara nyingi wakifanya shughuli kupika au kuangalia filamu ivo mlango unatunika huo kwan ni rahisi ikiwa kuna mgeni mbaya au mzuri kuwa noticed
 
Back
Top Bottom