Kwanini kwenye sherehe za harusi na send off wanawake hupenda kuacha vifua wazi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
 
Sasa mkuu ulitaka wa boost msibani wakiwa wamevaa madera?
 
Back
Top Bottom