Jofure freeman
Senior Member
- May 21, 2018
- 150
- 381
Kwa sababu inaonekana kama namba 1?Nimekuwa nikifatilia hili jambo kwa muda mrefu ila majibu niliyokutana nayo yasiyo na shaka ni kwamba elfu i, haipo kwenye usajili wowote wa magari hapa tz . Unaweza kukutana na alfabeti zoote ila ikifika herufi H wanairukia herufi i,wanaendelea na herufi j, wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi wa hili jambo.
Nimekuwa nikifatilia hili jambo kwa muda mrefu ila majibu niliyokutana nayo yasiyo na shaka ni kwamba elfu i, haipo kwenye usajili wowote wa magari hapa tz . Unaweza kukutana na alfabeti zoote ila ikifika herufi H wanairukia herufi i,wanaendelea na herufi j, wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi wa hili jambo.
Duh nilikua sijui na sijawah kuchunguza ngoja nianze kufuatiliahata 'O' haipo. sababu inaonekana kama 0. 'I' inaonekana kama 1.
Kwa tz namba zinaanzia 101 hata 100 kamili hakunaPia toka T namba sijawah kuona namba chini ya 100 mfano T23AAA
Kwa sababu inaonekana kama namba 1?
"z" iko flat juu, ukiiona kama 2 utakuwa na matatizo makubwa ya macho.Mbona “z “ipo na inaonekana kama “ 2 “
"z" iko flat juu, ukiiona kama 2 utakuwa na matatizo makubwa ya macho.
Duh nilikua sijui na sijawah kuchunguza ngoja nianze kufuatilia