Kwanini Lameck Lawi hakutambulishwa Simba day?

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Simba walitangaza kumsajili Lameck Lawi katika kurasa zao za mitandao ya kijamii, kwanini jana hakutambulishwa kwenye tamasha la Simba day?
 
Ubelgiji ya wapi mbona ligi ya Kule ishaanza hata picha yake akifanya mazoezi haipo
Ndio hivyo kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, Lawi amendable Ubeligiji kwa majaribio ila sijajua kama katoboa au la.
 
Lawi hayupo cha Europe wala yuropa..yupo hapo kosto...ni kwamba kosto wanawaomba Simba wakayaongee ila Simba wameamua kuachana nao...by the way TiFua tifua iliwaambia kosto na Simba wakae mezani wayamalize...so Simba kaaamua kupotezea...
 
Wapi Coastal wamewaomba mkayaongee? Hebu tafuta hata intvw za msemaji wa Coastal.Boko mmetoa wenyewe, mlivyo enda TFF mkagonga mwamba.
 
Lawi hayupo cha Europe wala yuropa..yupo hapo kosto...ni kwamba kosto wanawaomba Simba wakayaongee ila Simba wameamua kuachana nao...by the way TiFua tifua iliwaambia kosto na Simba wakae mezani wayamalize...so Simba kaaamua kupotezea...
Punguza uongo kaka
 
Swala la mchezaji Lawi bado lipo kwenye kamati ya hadhi ya wachezaji, Simba hawajamtambulisha kwa sababu halijatolewa maamuzi.
Maamuzi yanatakiwa kutolewa siku kumi kabla ya ligi kuanza.
Ni swala la muda tu maamuzi yatatoka.
Ikitokea Coastal Wana makosa adhabu yao itakuwa kubwa ni Kama yule mchezaji watakuwa wamemtoa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…