Kwanini Lissu asitetee nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti?

Kwanini Lissu asitetee nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Kwanini Mheshimiwa Lissu asipambane kutetea nafasi aliyonayo kwa sasa huku akizidi kukusanya uzoefu? Shida ni nini?
 
Huu ni wakati sahihi wa Lissu kutuongoza,Samia karudisha siasa za kibabe na anakiuka Katiba iliyopo.
 
Nawashangaa mnaotengenez hizi nyuzi

Kwani lissu ndio peke yake anayegimbania nafasi ya mwenyekiti chadema. Mbona wagombea ni wa 4

Sasa kidemokrasia nafasi za kugombea yeyote anawez kugombea
Au nafasi hii ni ya kufalme? Ya mbowe peke yake ili tujue
 
Back
Top Bottom