The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa wanajamvi!
Habari za weekend matumaini yangu wote ni wazima na buher wa Afya.
Faster kwenye mada. Keita jana usiku alifunga goli Lake la kwanza tangu ajiunge na Liver na lilikuwa muhimu sana kwasababu alisawazisha.
Cha kushangaza wenzake hawakushangilia naye ispokuwa muafrica mwenzake ambaye pia ni jirani yake msenegal Mane alienda na kushangalia naye.
Hata kwenye press Jurgen Klopp kamaind sana nakuliongelea hili jambo.
chaliifrancisco na wakereketwa wengine wa liver humu tunawaletea malalamishi kwenu hii taswira iliyoonyeshwa jana na liver haivumiliki kabisa. Tunanataka maelezo zaidi na jambo kama hili lisitokee tena.
Wadau wa mpira tumemaindi sana. Licha ya yote tunawaombea liver mtwae ubingwa.
I sit down not to be corrected