Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Muda huo bora ulale club tuuUna hoja usikilizwe, kama wana chaji kwa siku inajulikana siku inakamilika masaa 24.......mtu kaingia saa 8 usiku, saa nne asubuhi anatakiwa kukabidhi chumba, hii ni hujuma.
Utaratibu wa room check out ni Saa 4 asubuhi na check in inaanza muda huo Saa 4 asubuhi, mengine hayo ni shida zako mwenyewe hizo.Jamani owners wa Lodges hii tabia ya kumchaji mtu siku moja ila mtu anafika usiku na saa nne hela imeisha ni ujinga. Kwanini msiende kwa masaa 24? Ukifika saa nne usiku mpaka saa nne usiku hela yako inaisha. Shida ipo wapi? Hata Airbnb nyingi wanaenda hivi.
Mtu umefika mkoa mpya safarini unafikia usiku halafu asubuhi hela imeisha; Si sawa.
Unaweza kiwepesi Sana Kwa sababu hujui uendeshaji wake wake ukoje.Serikali au wizara husika kama nyumba na makazi, biashara na uwekezaji na katiba na sheria wakalitazame hili na kutoa mwongozo mara moja.
Mfumo unaotumika kwa sasa wa kutamatisha upangaji kwenye guest houses, lodges na mahotel kila ifikapo saa nne asubuhi bila kuzingatia muda aliowasili mpangaji chumbani pale huku gharama zikiwa ni za masaa 24, ni wizi wa fedha za wateja katika nyumba hizo za wageni.
Kwani tajiri akiambiwa mtu kaingia saa nane anapasuka amekua puto!Unaweza kiwepesi Sana Kwa sababu hujui uendeshaji wake wake ukoje.
Tajiri anakuja asubuhi umwambie mtu kaingia Saa 8 yaani mpaka Kesho Saa 8 usiku? hakuna kitu kama hicho.