Kwanini lugha ya kiswahili haipewi kipaumbele kama lugha ya Taifa?

Kwanini lugha ya kiswahili haipewi kipaumbele kama lugha ya Taifa?

Mejjah92

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
36
Reaction score
32
Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala english huna kazi.

Nini maoni yako?
 
Jifunze kikristo mjomba hakuna namna.

Usitake kujificha kwenye kivuli cha uzalendo kukipigia chapuo kiswahili kumbe tatizo ni yai limekupiga chenga kama yule ankali wa chattle mzee wa "ofukozi pipo yuzidi tu dai ini ze reki" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom