Alichangia kwa maandishi Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-WorldMBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie.
Niliona na mimi huo mchango wa maandishi la ndio nimejiuliza kwanini hakuchangia bungeni kama walivyochangia kina MWITA WAITARA, PROF. MKUMBO?Alichangia kwa maandishi
P
Ule mjadala ulijadiliwa kimkakati, kila kitu kilipangwa.MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie...