ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Katika vitu ambavyo ni muhimu kwenye modaling ni urefu. Mwanamke huwezi kuhesabiwa kama we ni mrembo anaekidhi vigezo kama hutokuwa na height iliyosawa. Msanii Lulu Michael ni moja kati ya wasanii wafupi/mbilikino kuwahi kutokea nchi hii.
Msanii lulu ana urefu/height 4ft 8 inches or 143 cm ambapo urefu huu ni category ya mbilikimo/midget/dwarf. Suala la urefu limekuwa likimsumbua Lulu mpaka kusababisha kuvaa viatu virefu muda wote.
Kisayansi binadamu harefuki zaidi akishafikisha miaka 16, kwa hiyo Lulu Michael atabakia na urefu wake mpaka anakufa.
Urefu wa Lulu ni wa mtoto wa umri wa miaka 11 ambaye anaendelea kukua. Imagine Jokate pia ni mfupi lakini siyo mbilikimo.
Hapa chini ni picha za watu maarufu warembo ma model.