We si ndo lulu mwenyewe, ndo utuambie sasa
Unadanganya, sio kweli.
Nilivyokuwa na 16 years nilikuwa na 176 cm sasa hivi nina 185 cm
Toka lini modal akawa andunje?Sio kwa ubaya ila vigezo ndio vinambagua swetii Lulu?
Bongo scientists bwanaHata mi naskiaga ukianza mapema haurefuki hata ufanyeje