Kwanini Ma- designer wengi ni Mashoga?

CEO wa Apple pia BWABWA!!!

Na siyo CEO tu.

Kuna mashoga wengi tu wafanyao kazi kwenye kampuni katika kada mbalimbali.

Usikute mmoja au baadhi ya wahandisi wanaoziunda hizo bidhaa zao ni mashoga!

Huko Google nako wapo wengi tu. Yahoo nako pia.
 
Bado haikupi ufunguo wa ku-generalise .....ila kama umeamua,endelea kung'ang'ania jukwaa jukwaa.
Ila wewe imekupa ufunguo wa jukwaa la UREMBO,MITINDO NA UTANASHATI ukute nimewazungumzia ma - designer wa ujenzi na wengine kwenye jukwaa lisilowahusu ???
 
Na siyo CEO tu.

Kuna mashoga wengi tu wafanyao kazi kwenye kampuni katika kada mbalimbali.

Usikute mmoja au baadhi ya wahandisi wanaoziunda hizo bidhaa zao ni mashoga!

Huko Google nako wapo wengi tu. Yahoo nako pia.
Kwa wenzetu mashoga ni watu kama watu wengine.. wanapumua.. wana vipaji.. na wanafanya kazi kama watu wengine..

Wenyewe wanakwambia Don't ask Don't tell...
 
Hahahaha umekurupuka kwan hili kukwaaa la nin?
 
Hahahaha umekurupuka kwan hili kukwaaa la nin?
Walewale jukwaa jukwaa! Aliye kurupuka kaandika kukwaa badala ya jukwaa.Chukua muda kujifunza usiwe na usipende kufikiri kwa kitu kingine kama kama makalio au mdomo, kufikiri tumia akili.Acha ujuha na ushabiki wa kipumbavu unaelekezwa unashoboka .
 
Hata hapa bongo nishanyaka na wengine wanaofinyangwa na ni madesigner wa nguo
 
Habari zenu wadau.

Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho ?????

Karibu tujadiliane.
Swaga tu.. Fashhoonnn
 
Habari zenu wadau.

Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho ?????

Karibu tujadiliane.
Dereva wetu kazin nae anavunjishwa kabati. Ni mtu smart by appearance, ana huruma sana...yaani akikuona una mavumbi tuu kwa kiatu anakupa kitambaa ujifute, anapenda sana kukaribiana mkiongea + anasutana umbea na wanawake daily..
Hadi huyo jamaa ???

Dah mi siwezi mwanaume ni mwanaume tu hata kama ni functionless. Shule niliyosoma kuna wadada majike dume wanapapasa wenzao tulikua hatuvalii nguo mbele yake aisee.
 
Sasa mkuu, ukisikia mwanao wa kiume kaamua kufuata kipaji chake ambacho ni desidner utakubali kweli kwa mambo kama haya ???
Mafundi wetu Tz mitaani mbona wengi ni wanaume na wanadesign na kutushonea tangu enzi na enzi na hawana tabia hizi.
 
Inawezekana unamzungumzia yuleee yupo karibu sana na naniliuu. Yaani yule wa zamani wa jamaa, achana naye ngoja niimbe tu "Nanana baby onanana, ghafla visenti sina nimerudi Tandale, nimeshindwa kulipa bima nimeuza madalee", washikaji hapo vipi sauti yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…