Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 22, 2017 #1 Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono. Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono. Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 22, 2017 #2 hii inaitwa bata kala bata
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 22, 2017 Thread starter #3 Daudi Mchambuzi said: hii inaitwa bata kala bata Click to expand... nchi ya ajabu sana hii
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jul 22, 2017 #4 Mbona hujiulizi kwanini TRA hailipi Kodi ?
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 22, 2017 Thread starter #5
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,756 Reaction score 5,250 Jul 25, 2017 #6 Hiii ni sawa na kumpangia mashariti baba ako mzazi kwenye nyumba yake