Kwanini Maafisa wa TRA hawatumii EFD mashine wanapo toza faini

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono.

Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
 
Hiii ni sawa na kumpangia mashariti baba ako mzazi kwenye nyumba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…