Kwanini mababu wa Kiyahudi wanang'ang'aniwa na Wakristo na Waislamu lakini wajukuu wao wanawachukia?

Samson Ngomboli

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
1,598
Reaction score
2,710
Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi.

Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao.

Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza geuza kijanja yaani basi ni shida tupu.
 
Mababu wa Kiyahudi walikuwa wanaonana na kuongea na Malaika.
 
unaweza kuwa sahihi

lakn iyo haina maana kuwa dini haina umuhimu wowote

kwa uchache tu

dini imefanya watu wawe na hofu ya mungu na ivyo kutenda yaliyo mema

imeepusha mafarakano na kuleta amani duniani kote

ww apo umezaliwa, kukua na hata sasa upo salama kwa sababu kuna amani

hata sasa apo umeweza kutype kwa amani kabisa bila bughudha, kwa sababu upo mazingira yenye amani (iliyochangiwa na uwepo wa dini)

je umewahi kufikiria dunia isiyo na dini yoyote ingekuwaje ?
 
Ni wakristo tu,Waislamu waondoe hapo unapotosha.waislam na wayahudi hawaivi kabisa.
 
unaweza kuwa sahihi

lakn iyo haina maana kuwa dini haina umuhimu wowote

kwa uchache tu

dini imefanya watu wawe na hofu ya mungu na ivyo kutenda yaliyo mema

imeepusha mafarakano na kuleta amani duniani kote

ww apo umezaliwa, kukua na hata sasa upo salama kwa sababu kuna amani

hata sasa apo umeweza kutype kwa amani kabisa bila bughudha, kwa sababu upo mazingira yenye amani (iliyochangiwa na uwepo wa dini)

je umewahi kufikiria dunia isiyo na dini yoyote ingekuwaje ?
Umeongea upuuzi Sana...dini imesababisha mateso ubaguzi vita ugaidi unyanyasaji na child abuse na imekwamisha maendeleo ya kifikra na kisayansi...we unaongea nini
 
Back
Top Bottom