Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Mababu wa Kiyahudi walikuwa wanaonana na kuongea na Malaika.Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi.
Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao.
Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza geuza kijanja yaani basi ni shida tupu.
Umeongea upuuzi Sana...dini imesababisha mateso ubaguzi vita ugaidi unyanyasaji na child abuse na imekwamisha maendeleo ya kifikra na kisayansi...we unaongea niniunaweza kuwa sahihi
lakn iyo haina maana kuwa dini haina umuhimu wowote
kwa uchache tu
dini imefanya watu wawe na hofu ya mungu na ivyo kutenda yaliyo mema
imeepusha mafarakano na kuleta amani duniani kote
ww apo umezaliwa, kukua na hata sasa upo salama kwa sababu kuna amani
hata sasa apo umeweza kutype kwa amani kabisa bila bughudha, kwa sababu upo mazingira yenye amani (iliyochangiwa na uwepo wa dini)
je umewahi kufikiria dunia isiyo na dini yoyote ingekuwaje ?