Kwanini macho na masikio ni kwenye mechi ya Yanga na siyo Simba

Usichojua ni kwamba Yanga anaenda kuingia makundi kwa mara ya kwanza toka 1998 wakati Simba imeisha zoea sasa kuingia makundi.... imagine hujawahi kwenda ulaya unafikiri mchecheto wako utakua sawa na anaye enda kila mwaka.
Basi uzi ufungwe
 
Wanajisahau kwamba michezo michafu wao ndo wanaongoza.

1. Kuhonga timu pinzani.
2. Ushirikina uliotukuka.
3. Waandishi machawa kama akina shafii na jemedar
4. Kupuliza madawa vyumbani.
 
Hata wenyewe mikia kutwa kufungua nyuzi za YANGA. Wasikilize huko huko akina GENTAMYCIME. Akina @Bobansunzu nyuzi zao zote kutwa ni YANGA tu. Hata yule mlopokaji wao ameacha kuisemea timu yake amekuwa msemaji wa YANGA tu. Kisa hiki hapa👇
 

Attachments

  • VID-20230913-WA0005.mp4
    3.8 MB
Usichojua ni kwamba Yanga anaenda kuingia makundi kwa mara ya kwanza toka 1998 wakati Simba imeisha zoea sasa kuingia makundi.... imagine hujawahi kwenda ulaya unafikiri mchecheto wako utakua sawa na anaye enda kila mwaka.
Yanga bado haijaingia makundi mzee
 
Huyu huyu aliyemfananisha Mgunda na andazi?
 
Yeah, hata hapa JF ni nadra kukuta shabiki wa Yanga anaanzisha uzi kuhusu Simba ila mashabiki wa Simba kila siku Ni kuongelea habari za Yanga
Anza na Okwi Boban ,scars,Magufuli, popoma na wengineo kutwa kufungua uzi kuhusu habari za Yanga
Hilo hawalioni kua linaipa mileage Yanga ila wanalalamika waandishi huku wao wakijisahau
 
Hata mlopokaji wa simba kutwa anapuyanga kuhusu YANGA. Yule kazi ya ulopokaji kwa simba imemshinda
 
Simba ni tawi la yanga, sometime hurefuka kupita hata mti wenyewe,
Popoma nyuzi 100, kati ya hizo 99 za yanga, 1 ni kuwaponda viongozi wenu simba.
Fikiria ndugu cha-goat
 
Ushamba na ulimbukeni wa michezo hii unawasumbua sana,tunawaangalia tu kwa dharaaaau
 
Mashabiki wa Timu kubwa wanapenda na timu popote.acha uzwazwa
 
Wewe mbuzi kweli hujasikia utumbo wa Kamwe
 
Ni ujuha tu. Tuna timu tatu zinazotuwakilisha mashindano ya CAF kwa sssa yaani Singida Big Stars, Simba na Yanga.
Hakuna kinachozungumzwa kuhusu Singida ambayo inacheza hapa hapa nyumbani. AIBU.
 
Hata waandishi hapa Rwanda wako busy na Yanga tu,hapo tupo mazoezini 😀😀😀
 
kwa sababu yanga ndo kwanza wanaanza kutoa matongotongo kimataifa, simba wapo kwenye game kimataifa kitambo sana wanachofanya ni kulinda consistence yao
 
Ahmed amechoka jana kawachana live mashabiki Tunduma,wao wapo karibu ila hata Hiace wameshindwa kukodi kwenda Ndola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…