Kwanini mada za kuponda wanawake zinafutwa, lakini mada za kuponda wanaume hazifutwi?

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,575
Reaction score
25,619
Mods wana-favourism,

Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.

Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?

Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume hazifutwi kwanini?

Kwa mfano hapa Jf kumezuka mabishano sana baina ya wanaume na wanawake.

Team Vibamia fc(viba[emoji817]) VS Team malapa Fc(ndala)[emoji160]

[emoji12] kwanini thread zinazohusu team Malapa fc(ndala) zinafutwa, lakini thread zinazohusu vi[emoji817] fc hazifutwi?

[emoji41] Jf kuna double standard

Nb: Jamii forum msije mkafuta uzi wangu
 
Kwasabab hizo ndala mnazsababisha nyie kwa kuzinyonya utton na ukubwani. afu mnaleta dharau huku,kuwen na heshima kwa mama zenu.vibamia mmezaliwa navyo[emoji57] [emoji57]
Msonyo mwenyewe, tena huu mkubwa kabisa[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mbona za Stunter hazifutwi au uwasilishaji wako ndio mbaya
 
Reactions: MC7
Kwasabab hizo ndala mnazsababisha nyie kwa kuzinyonya utton na ukubwani. afu mnaleta dharau huku,kuwen na heshima kwa mama zenu.vibamia mmezaliwa navyo[emoji57] [emoji57]
Hahahaha mama umenifurahisha sana yani nimecheka kwa sauti
 
Wanawake tuna run Dunia ndugu....lazma tuheshimiwe....mnapiga zege mchana jua Kali then usiku unaleta hesabu kwangu
 
T

 
Moderators wengi ni madem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…