Basi usimalizie kusema..NishapajuaHasa kwenye nanihii pale[emoji85]
Usimwambie mtuBasi usimalizie kusema..Nishapajua
Mods wana-favourism,
Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.
Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?
Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume hazifutwi kwanini?
Kwa mfano hapa Jf kumezuka mabishano sana baina ya wanaume na wanawake.
Team Vibamia fc(viba[emoji817]) VS Team malapa Fc(ndala)[emoji160]
[emoji12] kwanini thread zinazohusu team Malapa fc(ndala) zinafutwa, lakini thread zinazohusu vi[emoji817] fc hazifutwi?
[emoji41] Jf kuna double standard
Nb: Jamii forum msije mkafuta uzi wangu
Mmh hapo umetuchoka wengiWanawake tuna run Dunia ndugu....lazma tuheshimiwe....mnapiga zege mchana jua Kali then usiku unaleta hesabu kwangu
Nyonyo ziwe on sasa[emoji160] kama zilishachujuka sitoi hesabu hapo..[emoji41]Wanawake tuna run Dunia ndugu....lazma tuheshimiwe....mnapiga zege mchana jua Kali then usiku unaleta hesabu kwangu
na kuhangaika (msondongoma)[emoji26] kweli wanaume tumeumbiwa mateso
hata mada za kuponda Maharage Pumba J zinafutwa[emoji41] toa maoni yako
Ndivyo ilivyo....simnataka chauvunguniMmh hapo umetuchoka wengi
Ndio mkuu[emoji15] Hesabu kwako tena!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Babu ile kitu hainaga makombo....unatoa mshaharaNyonyo ziwe on sasa[emoji160] kama zilishachujuka sitoi hesabu hapo..[emoji41]
Mkweee upo kipande hiiKwasababu tuko sensitive sana teh