Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine wamewakuta wenzao wanakula na wao wakaigaKwanini hawa wenzetu wanaoendesha malori na ma-semitrailer huwa wanapenda kula nyama choma na bia?
kumbe point yako ipo ki geografia sanaMkuu lakini sio wote,hebu nenda zenji nyama choma na samaki ipi inapendwa
Mbona umeacha kazi mkuu,vipi tenaNimewahi kuwa truker kwa miaka minne kabla sijaacha kazi hiyo. Kuhusu kunywa pombe sio wote wanakunywa hii ni ati ya mtu na mtu japo wengi hutumia na kigezo kikubwa ni kutoa lock si unajua barabarani kuna mengi hivyo kuna mtazamo kuwa pombe inaongeza confidence mimi hadi leo sinywi pombe. Kwa suala la nyama choma nadhani tunarudi kulekule, trucker hana sehemu maalumu ya kula au kulala hivyo ni ngumu kwao kuandaliwa au kuwa na sehemu ya uhakika ya kupata chakula safi ambacho hakiwezi kumsababisia matatizo barabarani sasa hayo yoote yamepelekea nyama choma kuwa chakula mbadala cha uhakika kwa trucker tofauti na drivers wa buses ambao wana sehemu maalumu ya kula chakula safi na cha uhakika.
Niliamua kufanya mambo mengine mkuu japo mara moja moja kwa dharula huwa narudi mzigoniMbona umeacha kazi mkuu,vipi tena