Kwanini madereva malori wanapenda nyama choma na bia?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kwanini hawa wenzetu wanaoendesha malori na ma-semitrailer huwa wanapenda kula nyama choma na bia?
 
Nimewahi kuwa truker kwa miaka minne kabla sijaacha kazi hiyo. Kuhusu kunywa pombe sio wote wanakunywa hii ni ati ya mtu na mtu japo wengi hutumia na kigezo kikubwa ni kutoa lock si unajua barabarani kuna mengi hivyo kuna mtazamo kuwa pombe inaongeza confidence mimi hadi leo sinywi pombe. Kwa suala la nyama choma nadhani tunarudi kulekule, trucker hana sehemu maalumu ya kula au kulala hivyo ni ngumu kwao kuandaliwa au kuwa na sehemu ya uhakika ya kupata chakula safi ambacho hakiwezi kumsababisia matatizo barabarani sasa hayo yoote yamepelekea nyama choma kuwa chakula mbadala cha uhakika kwa trucker tofauti na drivers wa buses ambao wana sehemu maalumu ya kula chakula safi na cha uhakika.
 
Kwanini hawa wenzetu wanaoendesha malori na ma-semitrailer huwa wanapenda kula nyama choma na bia?
Kuna wengine wamewakuta wenzao wanakula na wao wakaiga
 
Mbona umeacha kazi mkuu,vipi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…