mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Sipandagi mara nyingi Kwa ajili ya uchumi lakini mara zote nikipanda dereva atalalamika mwanzo Hadi mwisho wa safari mara tajiri yuko nje Hana gari anapata hela ya bure mara anatukata asilimia 25, mara siku hizi hakuna bonus hivi ukijiunga huwezi kutoka kama Freemason?.
Mnateseka kuzima data ili msipatikane ili mpige tax ya kawaida, shida ya nini?. Halafu wateja wenu ni hawa hawa ambao hawajaongezewa mshahara miaka 6, waliovunja biashara Kwa Kodi Kichaa n.k.
Mnafikiri wanatoa wapi hela?.