Kwanini Madereva wana drive bila kuwasha taa ya ndani ya gari??

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu habari ya wikiend...

Ngoja niende direct kwa mada. Kuna jambo nmeliwaza nikaona nililete huku jf kwa wajuzi wa mambo. Wakati wa usiku madereva hawawashi taa ndani ya gari lakini wana drive vilevile gizani.

Kwanini uendeshe gari usiku bila kuwasha taa ya ndani? Ile taa ya ndani ya gari ni ya kazi gani? Je ni mazoea? Au kuna siri gani hapo? Karibuni
 
Wewe huwa unaendesha huku umewasha taa za ndani?!

Ipo siku utakuja kuuliza kwann tunawasha taa na wakati madereva wengine wameshawasha wanatusaidia kumulika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…