TUNTEMEKE JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Feb 17, 2012 #1 Kwapaja tujiulize na tupate majibu yenye kujitosheleza kwanin wadogo zetu wanafeli sana sikuiz?wadau wa JF karibuni.
Kwapaja tujiulize na tupate majibu yenye kujitosheleza kwanin wadogo zetu wanafeli sana sikuiz?wadau wa JF karibuni.
MkimbizwaMbio JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 868 Reaction score 331 Feb 17, 2012 #2 Mdarsalam said: Kwapaja tujiulize na tupate majibu yenye kujitosheleza kwanin wadogo zetu wanafeli sana sikuiz?wadau wa JF karibuni. Click to expand... Sababu ni FaceBook na Ngono.
Mdarsalam said: Kwapaja tujiulize na tupate majibu yenye kujitosheleza kwanin wadogo zetu wanafeli sana sikuiz?wadau wa JF karibuni. Click to expand... Sababu ni FaceBook na Ngono.
TUNTEMEKE JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Feb 17, 2012 Thread starter #3 MkimbizwaMbio said: Sababu ni FaceBook na Ngono. Click to expand... Sizani kama hilo ni tatizo,Nakama wew unaona hilo ndio tatizo so tunalitatuaje ili kuokoa kizazi chetu kijacho?
MkimbizwaMbio said: Sababu ni FaceBook na Ngono. Click to expand... Sizani kama hilo ni tatizo,Nakama wew unaona hilo ndio tatizo so tunalitatuaje ili kuokoa kizazi chetu kijacho?