Kwanini Maduka yaliyopo Mlimani City Mall hayafanyi kazi saa 24?

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Wakuu naomba mnisadie kwa nini Mall kubwa kama Mlimani City haifanyi kazi saa 24?
 
Jiji kam la dar kama usafr tuu saa 6/9 usiku hamna unasua sua watafanyaje.mAsaa 24

Nazn waweke mazingr ya ufanyaji kaz kwa dar 24hrs ,
 
Mkuu TZ-1 umeongea point hatari. Tatizo wateja, Dar ni mahala chache sana zinakesha 24 hours.

Lakini kama haitoshi, ATM tu za pale Mlimani ikifika saa 6 usiku wanazuia magari kuingia. Wa ndani watoke wa nje hamna kuingia.
 
nitalifanyia kazi
 
Duh hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…