Kwanini maeneo mengi ambayo CCM ina nguvu ndio yanayoongoza kwa umasikini?

Mkoa wa Kagera japo barabara nyingi ni vumbi lakini zinapitika bwana alafu mkoa unaweza barabara moja ya kuingia na kutoka tofauti na hapo ni barabara za kwenda vijijini
Kinacho endelea kuutesa mkoa wa kagera ni aina ya viongozi waliopo huko.

Wabunge wenyewe wote ni ndiyo mzee kila wakati.

Mbunge wa ndiyo ndiyo hawezi kuikemea serikali.
 
Mkoa wa Kagera japo barabara nyingi ni vumbi lakini zinapitika bwana alafu mkoa unaweza barabara moja ya kuingia na kutoka tofauti na hapo ni barabara za kwenda vijijini
Kwa mfano mbunge wa Nkenge siku Magufulii amefariki alilia kama mtoto ndogo kisa alikuwa amemuahidi kumpatia cheo cha uwaziri.

Unategemea mbunge kama huyo ataikemea serikali?
 
Aisee wewe kweli ni mwana Karagwe maana naona vichochoro vyote unavyo kwenye kiganja.

Naona Karagwe ndiyo wilaya ina changamoto nyingi kidogo.
 
Kinacho endelea kuutesa mkoa wa kagera ni aina ya viongozi waliopo huko.

Wabunge wenyewe wote ni ndiyo mzee kila wakati.

Mbunge wa ndiyo ndiyo hawezi kuikemea serikali.
Maendeleo hayaletwi na mbunge
 
Nasikia jimbo la Kongwa ndiyo linaongoza Tz katika lindi za umaskini / ukosefu wa afya, maji safi na salama, malazi na elimu hafifu.
Pale ndiyo chimbuko la wana ccm na hawajui kama kuna chama kingine cha siasa.

Lkn kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii ni wilaya ya mwisho maana mbunge wao kamwe hawezi kuisema vibaya serikali.
 
Maliza shule kwanza
 
Attachments

  • IMG_0558.MP4
    6.1 MB
  • IMG_0559.MP4
    2.8 MB
Sasa kama mbunge hasemi serikali itaota au

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Serikali Ina idara zote kila wilaya na maafisa usalama wanaokusanya taarifa za kila kitu,serikali inajua nini kinatakiwa wapi,mbunge hata abweke vipi,Kama serikali Haina mpango na anachobweka atabaki kuwa mpiga kelele tu
 
Kwanza upo wapi ili nikupe detail za mahala ulipo ujionee ulivyo zwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…