Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
Nafikiri watu wengi huchanganya choo na bafu kwasababu ya bajeti.
Lakini huyu kweli alikuwa na shida ya budget?
Ni mafundi mmekremisha? Ukosefu wa ubunifu? Au wenye nyumba wenyewe wanapenda hivi? Me nimecheka Kweli, nafikiri ni fundi maiko kafanya yake.
Hakuna kitu nachukia kama chooni kuwa na majimaji, panapaswa kuwa pakavu! Choo kikubwa kama hicho bafu liwe mwisho/pembeni na shower screen, au hata ukuta tu!
(Hili bafu 👆nalo limenichekesha the use of space, lakini angalau bafu liko mwisho huko)