Kwanini mafundi mnajenga vyoo vya hivi?

Underthesea

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2021
Posts
327
Reaction score
882
Nafikiri watu wengi huchanganya choo na bafu kwasababu ya bajeti.

Lakini huyu kweli alikuwa na shida ya budget?

Ni mafundi mmekremisha? Ukosefu wa ubunifu? Au wenye nyumba wenyewe wanapenda hivi? Me nimecheka Kweli, nafikiri ni fundi maiko kafanya yake.

Hakuna kitu nachukia kama chooni kuwa na majimaji, panapaswa kuwa pakavu! Choo kikubwa kama hicho bafu liwe mwisho/pembeni na shower screen, au hata ukuta tu!

(Hili bafu 👆nalo limenichekesha the use of space, lakini angalau bafu liko mwisho huko)

Hivyo vyoo vya kukaa sijui watu wanavipendea nini!?

Niliwahi enda sehemu ndo kipo choo hicho tu ikabid nipande juu, wacha nishuke nacho bahati hakikuniumiza.
Ila vyoo vya kukaa ni ushamba labda ni msaada kwa wenzetu walemAvu.
 
Hivyo vyoo vya kukaa sijui watu wanavipendea nini!?

Niliwahi enda sehemu ndo kipo choo hicho tu ikabid nipande juu, wacha nishuke nacho bahati hakikuniumiza ila vyoo vya kukaa ni ushamba labda ni msaada kwa wenzetu walemAvu.
Aisee bro 🤣

Mimi kuchuchumaa hapana 🚶‍♀️
Adhabu!!?

Mradi nishajua position nzuri ya ku poo ni magoti yawe juu ya hips, nakanyaga ndoo siku hizi.
 
Acha story mingi, ingia chooni kata gogo sepa zako au OSHA zako pumbuh hizo fasta sepa chap.
Wewee, watu tunaenda na simu chooni hatutoki Hadi nusu saa 😂
Wengine wanaweka majarida kabisa..

Chooni sio jalalani jamani, ndomana wengine wanapaita restroom.

Tatizo vyoo vyetu wengi kama magari yetu ya kubebea takataka, na yenyewe ni takataka!
 
Hujakutana na fundi anakuekea tp holder chini ya shower.

Naona mafundi wengi hufanya hivyo sababu ya urahis wa kutoa taka kupeleka kwenye chamber choo kikiwa mwishoni. Japo sina uhakika nimehisi tu
Basi shida inaanzia Kwa mchora ramani
 
Hakuna kitu sipendi kama huvi vyoo,, nilienda sehem kuna choo cha kukaa tu nilipata shida sana maana siwez kukaa hapo mimi
 
Hivyo vyoo vya kukaa sijui watu wanavipendea nini!?

Niliwahi enda sehemu ndo kipo choo hicho tu ikabid nipande juu, wacha nishuke nacho bahati hakikuniumiza.
Ila vyoo vya kukaa ni ushamba labda ni msaada kwa wenzetu walemAvu.
Usirudie tena kupanda, utakuja kuchanwa vibaya sana. Point to note, hakikisha nyumbani kwako chumba kimoja kinakuwa na choo cha kukaa, ipo siku utakihitaji.
 
Usirudie tena kupanda, utakuja kuchanwa vibaya sana. Point to note, hakikisha nyumbani kwako chumba kimoja kinakuwa na choo cha kukaa, ipo siku utakihitaji.
Faida zake ni nini?? Yaani dah, huwa nikiangalia na nikiwaza tu ile sehemu naishiwaga pozi sidhan Kama nitasubutu kujenga labda itokee kuna muhitaji ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…