Kwanini Magari madogo hayatumii Dizeli yanatumia petrol?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kwa watalaam wa magari. Inakuaje magari madogo yasitumie dizeli?

Huwa najiuliza hiki kitu sipati jibu.

Naomba majibu ya kitaalam.
 
Kwanza kasome namna injini inavofanya kazi. Ukimaliza maji utataka magari ya kutumia hewa. Halafu unataka waarabu wakale wapi mkuu.
 
Kwa nini magari yasitumie maji kabisa?

Mfumo wa Dunia unaendeshwa kiajabu sana.

Kwa nini vitu vingi visitengenezwe kua am kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi kama, mfano magari yatumie maji.
Wazo la kimaskini sana hili mkuu, lifute kbsa kweny akili yako.

Kuna maeneo mpka leo hii maji ya matumizi kawaida ni ttzo kubwa. Je maji yangekuwa ni nishati ya kuendeshea vyombo vya moto ingekuwaje?

Unafikiria vp sk uende kituo cha kuuza Maji ya kunywa ukasubirishw kwanz ili Lori lijaze maji ili liendelee na safari?

Huoni hata jinsi Nchi zenye nishati ya mafuta zilivyo na Migogoro kisa tu ni Udhamani wa ile Bidhaa ilivyo Lulu kwa dunia ya leo, Je na maji yangekuwa yanagombewa na kuwa na Chokochoko za uadui na Vita kiasi kile ingekuwaje?

Ulitaka kusikia Ziwa Victoria ni la Mtu fulani analimiliki kwa asilimia 100% au mto Wami ni wa Kigogo 1 huko sisiem unatumiwa yy na familia yake?
 
Kwanza kasome namba injini inavofanya kazi. Ukimaliza maji utataka magari ya kutumia hewa. Halafu unataka waarabu wakale wapi mkuu.
Waarabu walivyowekeza kwenye visima vyao halafu yeye aje na hoja hii lazima wamuue.
 
Kwa watalaam wa magari.. inakuaje magari madogo yasitumie dizeli?

Huwa najiuliza hiki kitu sipati jibu.

Naomba majibu ya kitaalam.
Magari madogo ya Diesel yapo siku hizi.. Leyland wemetoa virikuu vinatumia Diesel.. Kupata engine ndogo ya Diesel, lazima gari iwe na turbo.. Lasivyo gari itakuwa na nguvu kidogo sana.
 
Magari gani madogo hayo unayosemea mkuu?

Maana vitz wana engine yenye diesel 1.4 L 1ND-TV

Toyota allex wanayo 2L 1CD-FTV D-4D

Toyota Avensis wanayo 2L 1CD-FTV

Toyota Caldina wanayo 2L 2C-T

Inshort za diesel ziko nyingi sana tu.

Tena European make ndio wanatengeneza hizo gari ndogo za diesel za kutosha
 
Kwa nini magari yasitumie maji kabisa?

Mfumo wa Dunia unaendeshwa kiajabu sana.

Kwa nini vitu vingi visitengenezwe kua am kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi kama, mfano magari yatumie maji.
Hakuna Kitu kinachopatikana kwa urahisi kikawa na thamani.

Ndoo moja ya maji ya Lita 20 huku kwetu inazwa 200 ila Lita moja ya mafuta inauzwa 1800 .
 
Wazo la kimaskini sana hili mkuu, lifute kbsa kweny akili yako....

Kuna maeneo mpka leo hii maji ya matumizi kawaida ni ttzo kubwa. Je maji yangekuwa ni nishati ya kuendeshea vyombo vya moto ingekuwaje?...
Hata sijaelewa hoja yako.

Hoja yako ni ipi hasa?
 
Kwanza kasome namna injini inavofanya kazi. Ukimaliza maji utataka magari ya kutumia hewa. Halafu unataka waarabu wakale wapi mkuu.
Hiyo injini unayosema umetengenezwa itumie nini?

Kwani haiwezi kutengenezwa au kua conditioned itumie maji?
 
Kwa nini magari yasitumie maji kabisa?

Mfumo wa Dunia unaendeshwa kiajabu sana.

Kwa nini vitu vingi visitengenezwe kua am kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi kama, mfano magari yatumie maji.
Kwani coolant si ni maji pia na yanatumika kwenye kila gari
 
Kwa nini magari yasitumie maji kabisa?

Mfumo wa Dunia unaendeshwa kiajabu sana.

Kwa nini vitu vingi visitengenezwe kua am kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi kama, mfano magari yatumie maji.
Maji hayatoi nishati ya kuendeshea injini. Ukimwaga maji kwenye moto unazima, ukimwaga mafuta mepesi kwenye moto unauchochea kuwaka. Mafuta kwenye injini yanatengeneza combustion ambayo maji hayawezi toa.
 
Kwa watalaam wa magari. Inakuaje magari madogo yasitumie dizeli?

Huwa najiuliza hiki kitu sipati jibu...
Kuna mjumbe mmoja alinidanganya ni kwasababu diesel ni nzito kuliko petrol hivyo hata kwenye uchomwaji wake inatoa power kubwa ambayo inafanya engine iwe na mtikisiko mkubwa.

Kwa magari makubwa designers hawaoni shida sababu hiyo vibration itatawanywa kwenye eneo kubwa ila magari madogo wanaona shida kuongeza vipuli vya kutokomeza hiyo issue
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…