Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nissan, Landrover na yale ya KoreaUnaweza kutaja mfano wa hizo brand ambazo zinaweza kuwa reliable na zikaendana na mazingira yetu tofauti na brand za Toyota?????
Si serikali tu, UN wana fleet ya toyota. Toyota wana excel sehem moja tu ambayo brand zingine hazi excel. Reliability and durability , kwa mazingira yetu haya ndio perfect choiceKuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.
Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.
Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
Kuna mashirika yanatumia landrover, lakini sasa since landrover wame drop kutengeneza gari ngumu, siku izi wame focus kwenye luxury SUVNissan, Landrover na yale ya Korea
😆😆😆😆Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.
Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.
Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
Bado hizo gari hazifiki kwa land cruiser Kama unafuatilia Nissan , landrover zilikwepo nyingi sana miaka ya nyuma ila sahivi sio nyingi sana kwenye governmentNissan, Landrover na yale ya Korea
MitsubishNissan, Landrover na yale ya Korea
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.
Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.
Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
kupanga ni kuchagua 🐒Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.
Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.
Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
10%Litakuwa ni deal la watu. Usije kuta kuna mdalali hapo.
Mkuu naona hauko serious. Hapo hakuna gari ya kulingana na Toyota kwa uimara. Nakubaliana na hoja kwamba tunapigwa sana kwenye bei, nadhani tunapigwa kwa sababu sisi wenyewe tunapenda kupiga cha juu kwenye kila tenda, lakini kwa ubora na uimara Toyota ni #1.Nissan, Landrover na yale ya Korea
Siyo kila muuzaji anahonga 10%Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.
Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.
Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
Mkuu utakuwa ulichanganya na volkswagen, Lada niliziona Russia tu sijawahi ziona mahala popote nilipowahi kuishi.Wakati tunakuwa zilikuwepo pia gari za kirusi "lada"
Ova