Kwanini magari wa sasa hayatumii hydraulic?

Nimeona Toyota Rush model 2021 haitumii hydraulic kama power steering oil na transmission oil, je zinatumia technology gani?

Zinatumia Electric power steering (EPS), na imeanza kutumika hata na mjapan zaidi ya miaka 15 iliyopita. Vanguard, Rav 4 za 2007, Subaru forester za hiyo miaka, rush, passo n.k. Tatizo kwa barabara zetu hizi na mazingira hazidumu kama za hydraulic
 
Nimeona Toyota Rush model 2021 haitumii hydraulic kama power steering oil na transmission oil, je zinatumia technology gani?
Steering zinatumia EPS aka steering ya umeme.

Bado gearbox zote Automatic zinatumia systems za Hydraulic katika ufanyaji kazi wake,

Pump, pressure lines, valves na actuators.

Usidanganyike na majina ya oils. Kama hakuna hydraulic pressure hakuna gearbox automatic itafanya kazi.

Hydrauluc Oil ni just general name.
 
Zinatumia Electrical Power steering. Haitumii Hydraulic Power steering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…