Kwanini magazeti ya Serikali na CCM hayaripoti kesi ya Mbowe?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.

Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?

Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
 
Weledi wa kitanzania unatumika katika eneo hilo, wanakumbukumbu ya zile faini 25m.
 
Ya Sabaya wanaripoti kwani,tuanzie hapo maanandio kwenye mzizi wa fitina.
 
Gazeti lenye viashiria vya kuumiza, kujeruhi, kikatili na uonevu haliwezi kuandika habari za anaeonewa tena na wahusika kutoka kwao!
 
CCM na Mbowe wapi na wapi bwashee?!!!
Unadhani ushahidi ungekuwa unamwelemea Mbowe na ukweli ungekuwa against Mbowe wangenyamaza? Habari za hiyo kesi zingekuwa Radioni asubuhi hadi jioni
 
Nadhani hayatapata soko zikiwemo story za Mbowe.
Kila mmoja ale kwa........
 
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.

Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?

Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]YAKO BUSY YANARIPOTI MADARASA YA UVIKO
 
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.

Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?

Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Pengine kwao hiyo sio habari. Ila ingeelemea upande ule labda wangeandika.
Hawajui tu wata watayakata kwa ubaguxi huu.
 
Kesi hii itafundisha mengi kwa wananchi Mambo ya CR, PGO, notebook na utaratibu mzima tungeujulia wapi? Tulishazoea kukamatwa kwa virungu bila hata kuulizwa!

Waandishi wa habari wamekuwa wa michongo
 
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.

Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?

Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Kesi ya kusingizia, hata wao wanaione aibu, kuifuta wanatamani lakini wanashindwa
 
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.

Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?

Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Hivi zile spana wanazopigwa mashahidi wa mchongo akiwemo kingai na Mahita unawezaje kuzianika ?
 
Back
Top Bottom