Wewe inawazaje, unaona kama Mimi, unawaza kama Mimi, au ndio ile maana ya mtani eeehhh utajua hujui.Una uhakika
Sena MTU na mtesi wake wapi na wapi🤔?CCM na Mbowe wapi na wapi bwashee?!!
Wanaona aibu hii kesi ya mchongo inaivua nguo serikali katili ya CCM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]YAKO BUSY YANARIPOTI MADARASA YA UVIKOTokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.
Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?
Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Pengine kwao hiyo sio habari. Ila ingeelemea upande ule labda wangeandika.Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.
Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?
Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Bwashee kwani habari ni nini na kazi ya gazeti ni niniCCM na Mbowe wapi na wapi bwashee?!!!
Vipi angekuwa analemewa na kesi wasingeripoti kweli?CCM na Mbowe wapi na wapi bwashee?!!!
Kesi ya kusingizia, hata wao wanaione aibu, kuifuta wanatamani lakini wanashindwaTokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.
Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?
Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Hivi zile spana wanazopigwa mashahidi wa mchongo akiwemo kingai na Mahita unawezaje kuzianika ?Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.