Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa maana nyingine wachezaji wengi wa Simba hawana uwezo wa kukaa kwenye nafasi za kufunga kama John Bocco!!??Mshambuliaji anaejua kuji position mnapokua na mpira ni rahisi kupata pasi za mwisho za kufunga.
Ao unaosema awapati iyo mipira mingi ya kukosa magoli kama anayopata Boco ni mapungufu ya mchezaji binafsi.
Wanauwezo na wanafunga, Kagere mfungaji bora yeye tu kila msimu anaemfatia nafasi ya 2 au 3 ni Bocco.Kwa maana nyingine wachezaji wengi wa Simba hawana uwezo wa kukaa kwenye nafasi za kufunga kama John Bocco!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kama magoli mengi anayofunga Kagere ni kama lazima na Bocco awe amecheza!!Wanauwezo na wanafunga,Kagere mfungaji bora yeye tu kila msimu anaemfatia nafasi ya 2 au 3 ni Bocco.
Kagere na bocco misimu yote kagere ndio huongoza kwa magoli na assistNaona kama magoli mengi anayofunga Kagere ni kama lazima na Bocco awe amecheza!!
Sent using Jamii Forums mobile app