Kwanini magonjwa ya figo, ini pamoja na mapafu yanaondoa vijana wengi sana?

Acha uongo jamaa..uli wapima..?na pia takwimu nyingi zinaonyesha magonjwa yasiyo yakuambukiza ndio yanaongoza kwa vifo..magonjwa nyemelezi ambayo ni ya kuambukiza ndio yanayo wapereka wenye ngoma..rudi shule boya wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mafuta ya kula yanayotokana na mbegu ni hatari??..hebu ni eleweshe vyema hapa?

#MaendeleoHayanaChama
 
Vyakula na vinywaji vya viwandani,vinachangia sana uharibifu wa figo.Upande wa ini,ngono inachangia sana,kwasababu ugonjwa wa ini unaambukizwa vilevile kwa kuyagusa yale majimaji na jasho la mtu mwenye huo ugonjwa(Hepatitis B).Magonjwa haya yanatumaliza sana,ukienda dialysis,inatia huzuni pale unapoona watu wengi wapo kule wanachujwa damu,inasikitisha hasa ukiulizia gharama ambazo zinatumika,inaumiza.Mtu kama hana bima ya afya,anachujwa mara kadhaa,familia inafilisika nayeye anakufa kwa kukosa pesa za kumsafisha,inatia huruma sana.
 
Acha uongo jamaa..uli wapima..?na pia takwimu nyingi zinaonyesha magonjwa yasiyo yakuambukiza ndio yanaongoza kwa vifo..magonjwa nyemelezi ambayo ni ya kuambukiza ndio yanayo wapereka wenye ngoma..rudi shule boya wewe.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu taratibu basi

Humu kuna timu ngoma na timu fegi&tungi

Wewe chagua timu yako
 
Pamoja Na defect kama UKIMWI na dawa zake ila energy drinks ni shimo la kifo kwa vijana. Wasipokua makoni watawaacha matajiro wenye viwanda tu hapa duniani
 
Fanya tafiti vizuri...vijana wengi wanaondoka na kisukari..kisukari kinaathiri moyo etc...vifo vingi vya gafla tatizo Ni Hilo kubwa..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Fanya tafiti vizuri...vijana wengi wanaondoka na kisukari..kisukari kinaathiri moyo etc...vifo vingi vya gafla tatizo Ni Hilo kubwa..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kisukari ni ishu kubwa sana tena hiki kinacho sababishwa na modern diet and lifestyle.
 
Pombe za kienyeji hazina makemical .ila huku kwenye konyaji,k vant ni matatizo matupu
 
Wakati Mwingine hivo viungo vinachukuliwa kwa Ushirikina.
Mchawi akiloga mtu na kifo cha mtu kikawa cha utata, mshirikina/mchawi anajuwa ilo ni tatizo lakini mtu akiambiwa figo yake hazifanyi kazi kifo kikamkuta. Kifo hiki tunaamini siyo cha kishirikini

Kumbe tunajindanganya ushirikina nao upo Advanced .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…