Ile ni zuga ya JPM kuwa ana watu. Lakini kiuhalisia kura yao haina nafasi ktk ushindi wake. Sanasana angewatumia kama kichocheo cha kubadili Katiba ili atawale milele.
Kwani hata asingepasha sauti alikuwa anashindwa kujiongezea?Wangeingia barabarani wakipaza sauti kuwa JPM aongezewe muda Kwa visingizio vya uzalendo almradi Dunia ione kuwa ni support ya watanzania kumbe ulaghai tu. Mungu aliona hila hii mapema akaona aweke rekodi sawa kablq haijaja siku iliyombaya.
Machinga nao ni wanadamu/Watanzania,wanastahili kuishi na kueshimiwa ktk nchi yao,sio kufukuzwa kama mbwa mjini, sababu nao wanatafuta liziki,ili waweze kuishi na family zao,tena mataifa yalioendelea watu kama hawa wanalipwa hela ya kujikimu kwa kila mwezi ili waweze kuishi, Tanzania wanaalibiwa mitaji yao eti wanachafua mji,sijui huo mji kajengewa kina nani.magufuri atazidi kueshimika hata kama yuko kaburini maana alikuwa na huruma na masikiniWanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.
Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?
Naomba tuelimishane hapa pls
Unapokataa kuwaajiri wasomi ni kuongeza machinga mitaani. Hapa tujiulize aliwakumbatia kwa wema.Wanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.
Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?
Naomba tuelimishane hapa pls
Taratibu gani za kupanga bidhaa barabarani?Aliwakumbatia wapi mkuu? Magufuli aliweka wazi wamachinga wafanye biashara kwa kufuata taratibu
Sikiliza uelewe
Na hata walipovamia barabara alisimama humo kununua bidhaa zao, kugawa hela... Aliwaunga mkono that man was populist.Alikua na huruma tu ila huruma iyo iliwapa mapembe mpka wanavamia barabara
Magufuli alikuwa Mcha Mungu. Aliyetuambia tumtangulizeMungu. Kwenye corona alitaka misikiti na makanisa women, hakuifunga nchi. Akatutaka na akaongoza maombi ya siku tatu kuomba na kushukuru. Mpaka leo Mungu katuweka hai. MAGUFULI, jembe, chuma, mwanamwema wa AfrikaMagufuli alikuwa katili mwigizaji.
Alikuwa hafuati sheria bali upepo.
Magufuli huyohuyo ndiye aliyevunja maelfu ya nyumba Kimara, Magufuli huyohuyo ndiye aliyewakingia watu wa Mwanza wasivunjiwe nyumba
True but watu wanapaswa kujua kuwa mjini sio mahali rahisi kihivyo. So kusafisha kidonda ndio mwanzo wa kukitibu. kikitoa damu usiogopeMachinga ni mtego mbaya wa kisiasa.
Rais atapata tabu kuendesha serikali yake.
Hawa watu ni wengi sana kuliko wenye ajira na biashara rasmi na wana wategemezi.
Kuna hitajika busara kukaa nao.
Ni sawa ila aliwapa nguvu sana na wasimamizi wa miji waliwaogopa machinga kupitia yeye. Iizidi, ingefika mahali hata machinga wangeichukia hali yao na ingwaathiri pia.Kwani hawa Machinga wameanza leo au kwenye utawala wa JPM ?..... hawa walikuwapo na wataendelea kuwapo pia asilimia kubwa ya vibanda vilivyo wekwa barabarani ni wafanyabiashara wenye kipata kikubwa na sio MACHINGA halisi wanaojulikana kwa miaka yote ukweli lazima usemwe huwezi kuufanya mji kama namna ile ya vibanda banda kila corner uli ni UTAHIRA .
I can't find the descriptive words to define you but what I know, that you probably don't, is that the diversity of option is the divine right of every mankind.Ur comment determines your thinking capacity..stupid!!!
Wewe muongo. Wamachinga wamekuwepo mitaa ya kariakoo tangu enzi za mzee Mwinyi.Alikua na huruma tu ila huruma iyo iliwapa mapembe mpka wanavamia barabara
Umenikumbusha neno la kinyakyusa la autocratic leadershipBaada ya kuua sekta binafsi kwa kuwashusha matajiri wawe masikini wengi walifunga biashara zao.Watu wakakosa ajira,akaua kilimo wengi wakakimbilia kwenye umachinga akatumia fursa hio kuwabrainwash kwamba ni mtetezi wao,akajipigia iishirini iishirini zao, aliwatengeza machinga Ili awatumie kisiasa.
Alitaka kuwatumia kisiasa kwenye wazo lake la kuja kubadili katiba na kuendelea kutawala.
Je CCM haiutaki huu mtaji tena?
Weqe unaonaje kwa upande wako...Wanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.
Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?
Naomba tuelimishane hapa pls