Kwanini Magufuli hakuiweka hadharani orodha ya Mali za CCM iliyoandaliwa na Dkt. Bashiru na Wakili Msando?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.

Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bashiru yuko very confused, angapata ulozi tu wangekoma.

Mali za CCM sijui kama zina faida na mimi.
 
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.

Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.

Maendeleo hayana vyama!
Kulikuwa na mambo ya hovyo , wizi, ubadhirifu and the like yalimhusu, kama siyo yeye basi watu waliokuwa karibu na yeye yaliwahusu and therefore could not make the report public! Ukoo wa wezi CCM
 
Ingekuwa kashfa kubwa sana na ingekuwa vigumu sana kukisafisha chama na kukubalika tena na umma wa Watanzania.

Sababu wezi wakubwa ndio hawa viongozi wa sasa hivibwakishirikiana na wafanyabiashara wakubwa wachache.
 
Mali za CCM ni za watanzania wote!
Kile kilikuwa chama cha serikali na uendeshaji wake ulitokana na fedha za Hazina ambazo ni kodi za watanzania. Kimsingi ilibidi baada ya vyama vingi CCM ibaki na NULL SET katika mali zake except conference files; na vingine virudi serikalini. Hopefully one day some years to come all will be recovered!
 
Kua mambo ya hovyo , wizi, ubadhirifu and the like yalimhusu, kama siyo yeye basi watu waliokuwa karibu na yeye yaliwahusu and therefore could not make the report public! Ukoo wa wezi CCM
Hapo Chadema mna mali gani?
 
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.

Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.

Maendeleo hayana vyama!
Mali za CCM ukitafakari kwa kina ni Mali za wNanchi wote .kama kiongozi mzalendo atapatikana zote ztatakiwa kurudi kuwa Government properties .iko siku tu...
 
Niliskia chama kina pesa trillion mojaa na vicent kadhaaa
 
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.

Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.

Maendeleo hayana vyama!
Wangetoa hadharani

Bashiru na Magufuli credit rating zao zingekuwa juu mno kwenye public na public ndio wafanya maamuzi ambao ni wananchi

Waandishi wa habari wamhoji Bashiru kwa nini ile ripoti alifanya siri ambamo kulikuwemo uozo kibao wa wezi na majina yao.wa mali za CCM?
 
Lakini twende mbele turudi nyuma Nina imani kubwa sana Dr bashiru lkn hawezi kuyafanya yote hayo mnayoyasema bila kuwa Na watu haswa nyuma yake.

Lakini acha mvua inyeshe tuone panapovuja ni wapi.
 
Wangetoa hadharani

Bashiru na Magufuli credit rating zao zingekuwa juu mno kwenye public na public ndio wafanya maamuzi ambao ni wananchi

Waandishi wa habari wamhoji Bashiru kwa nini ile ripoti alifanya siri ambamo kulikuwemo uozo kibao wa wezi na majina yao.wa mali za CCM?
Bashiru bado yupo.
 
Yeye mwenyewe mwizi, hakuna mwenye unafuu hapo, ndio maana hata baada ya miaka 100 jembe la mkono litakuwepo tu
Mnasubiri miujiza watu wenyewe eti Magu anapewa jogoo anamnyanyua anasema JOGOO OYEEE halafu mazuzu Oyeeeeee
Unashindwa kujua brainwash ya aina gani hii
Mengine sio ya kuongea kwa wale wanaosema FiRE
 
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.

Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.

Maendeleo hayana vyama!
He was a typical thief
 
Back
Top Bottom