johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mali za CCM ni za watanzania wote!Bashiru yuko very confused, angapata ulozi tu wangekoma.
Mali za CCM sijui kama zina faida na mimi.
Kulikuwa na mambo ya hovyo , wizi, ubadhirifu and the like yalimhusu, kama siyo yeye basi watu waliokuwa karibu na yeye yaliwahusu and therefore could not make the report public! Ukoo wa wezi CCMKama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.
Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.
Maendeleo hayana vyama!
SAY IT LOUD MANHe was himself a hard core thief!
Kile kilikuwa chama cha serikali na uendeshaji wake ulitokana na fedha za Hazina ambazo ni kodi za watanzania. Kimsingi ilibidi baada ya vyama vingi CCM ibaki na NULL SET katika mali zake except conference files; na vingine virudi serikalini. Hopefully one day some years to come all will be recovered!Mali za CCM ni za watanzania wote!
Hapo Chadema mna mali gani?Kua mambo ya hovyo , wizi, ubadhirifu and the like yalimhusu, kama siyo yeye basi watu waliokuwa karibu na yeye yaliwahusu and therefore could not make the report public! Ukoo wa wezi CCM
Mali za CCM ukitafakari kwa kina ni Mali za wNanchi wote .kama kiongozi mzalendo atapatikana zote ztatakiwa kurudi kuwa Government properties .iko siku tu...Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.
Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.
Maendeleo hayana vyama!
Wangetoa hadharaniKama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.
Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo haipo madarakani tena.
Maendeleo hayana vyama!
Bashiru bado yupo.Wangetoa hadharani
Bashiru na Magufuli credit rating zao zingekuwa juu mno kwenye public na public ndio wafanya maamuzi ambao ni wananchi
Waandishi wa habari wamhoji Bashiru kwa nini ile ripoti alifanya siri ambamo kulikuwemo uozo kibao wa wezi na majina yao.wa mali za CCM?
He was a typical thiefKama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.