The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Du mkuu hujui kuna ghala la TRA limeungua hukoMkuu, kimetokea nini Tanga?
Lete Maneno....Du mkuu hujui kuna ghala la TRA limeungua huko
Litakuwa ghala la urojo tu ama uono!Ghala la chakula au?
Me nilikua barabarani siku nzima kutoka point A kwenda point B so sijasikiliza wala kusoma chochote kuhusu Tanga, hapa ndo nashtuka kuskia haya.. Sasa hilo ghala la TRA ni ghala la document au?Du mkuu hujui kuna ghala la TRA limeungua huko
Nahisi vilivyokuwa ndani ya ghala vitakuwa vilishatolewa kitambo kabla ya moto kuzuka. Moto umetumika kupoteza ushahidi.Nimesikia redioni asubuhi hii, ghala la TRA lililopo katika bandari ya Tanga ambalo huhifadhi bidhaa mbalimbali za wafanyabiashara walioshindwa kuvikomboa limeteketea lote.
Vitu kama pikipiki, baiskeli, nguo na vitu vingine mbalimbali vimeteketea.
Miaka ya nyuma kulikuwa na kawaida ya kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zilishindikana kukombolewa.
Exactly Taifa la wadanganyika hiiNahisi vilivyokuwa ndani ya ghala vitakuwa vilishatolewa kitambo kabla ya moto kuzuka. Moto umetumika kupoteza ushahidi.