Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa. Mmoja aliniambia haujui kabisa, nilishangaa!
Iweje mziki maarufu kama huu mwenyeji wa South asiujue? Kwanini Makaburu hawaupendi mziki wa Amapiano?