Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Ndio walivyokuambia?Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa. Mmoja aliniambia haujui kabisa, nilishangaa!
Iweje mziki maarufu kama huu mwenyeji wa South asiujue? Kwanini Makaburu hawaupendi mziki wa Amapiano?
Ila wanapenda sana Jerusalema/Jerusalem. Sasa sijajua Amapiano yakizulu sana, au basi tu ubaguzi unaendelea?!Inakuaje habari za paka unamuuliza panya?
Ni muzuki wa kipumbavu,unatungwa mtu akiwa amelewa konyagi.Ulimbukeni tu wa watanzania kushobokea vitu vya kijinga.Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa. Mmoja aliniambia haujui kabisa, nilishangaa!
Iweje mziki maarufu kama huu mwenyeji wa South asiujue? Kwanini Makaburu hawaupendi mziki wa Amapiano?
Konyagi tena?! South au BongoNi muzuki wa kipumbavu,unatungwa mtu akiwa amelewa konyagi.Ulimbukeni tu wa watanzania kushobokea vitu vya kijinga.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Umaenda mbali, hata hapa bongo Wahindi wanaishi kariakoo hata kama ni maskini, ni wachache saana wameaanza kwenda kuishi kaeneo kama ya kimaraHabari,