Kwanini Makada wa CHADEMA waliopo humu JF hawakwenda Mbeya? Je ni waoga.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Wenzao wamechakazwa kwa kipigo.

Lakini wao wamo humu ndani JF wakitiririka kwa comment za kihuni.

Makada wa CHADEMA acheni uoga basi.
 
Akilii mtu wanguuu🏃🏃🏃...vizurungu vya police CCM vinaumaaa asikwambie mtu mkuu...
 
Wenzao wamechakazwa kwa kipigo.

Lakini wao wamo humu ndani JF wakitiririka kwa comment za kihuni.

Makada wa CHADEMA acheni uoga basi.
no fear no hate spirit is no more 🐒
 
Wenzao wamechakazwa kwa kipigo.

Lakini wao wamo humu ndani JF wakitiririka kwa comment za kihuni.

Makada wa CHADEMA acheni uoga basi.
Hawana uwezo wakuingia front ni kelele za JF tu. Sugu amepata kipigo cha mbwa koko!! Katibu Mkuu wao alipata cha moto mpaka akapiga kelele kama mwanamke! "WANANIUA" Chezea Polisi wewe!! 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…