Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Kwetu sisi watoto wa wakulima tukisema, tunaambiwa tunatafuta umaarufu. Lakini kwa Familia Bora, ya Mboga saba, ambao ndio watakaoongoza tangaznia hati Yesu Arudi, Familia ya Yusuf Makamba na wanae, ni sawa tu.
Mzee makamba, mwanaye January na Mwamvita wanatafuta media exposure kwa nguvu zote. January anajishusha hadhi kwa kuja na kila aina ya story yake humu ndani ya JF, hadi kujiita Obama. Mbona asijiite January Makamba, kwani mpaka ajiite Obama?
Mwamvita naye, kila kukicha yuko kwenye blogs, redio, na magazetini. Kila party ya visichana vidogo vidogo yupo. Hata kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake, yeye yumo.
Jamani siyo chuki, napenda tu kuuliza, hivi bila Makamba Tanzania inawezekana kweli?