ukisikia makubwa ndo hayo sisi tutabaki kuduwaa watoto wa vibosile
wanatunyonya mpaka kunani wewe uliona wapi mtoto wa mtawala wa
kwanza wa tz kujitangaza na kula hujuma kama watoto hawa
wanajiproud sana ili waonekane wema kumbe ni mafisadi na watoa rushwa