Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa.

Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
 
Back
Top Bottom