Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jul 28, 2024 #1 Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Jul 30, 2024 #2 Wamekipuuza tu ila ni matam sana
Genius97 Member Joined Jul 21, 2024 Posts 10 Reaction score 6 Jul 31, 2024 #3 Yapo ujatembea tu uku yapo kuanzia 500 wa uziwa