Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
TCRA wako busy kuongeza gharama za bando na kuhakikisha hakuna mtanzania anatumia whatsapp kupiga simu za nje bila malipo.Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).
Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sanaYaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).
Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
Umeambiwa ni salama zaidi.....in RC's voiceYaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa (19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).
Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe.
View attachment 1798346
Benki gani hi mkuu
Labda miaka ya nyuma wakati inaanza, sahivi wanakata.Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
Kwahio na wao wanakula riba, wanakata bei gani kwa mweziLabda miaka ya nyuma wakati inaanza, sahivi wanakata.
Sijui ni kiasi gani hasa ila nilipoenda nilikuta kiasi nilichoweka kimepungua.Kwahio na wao wanakula riba, wanakata bei gani kwa mwezi
Dah, hatari sana kwakweliSijui ni kiasi gani hasa ila nilipoenda nilikuta kiasi nilichoweka kimepungua.
Mimi siku hiz nasave equity bank hawana makato kabisa.. Hata baada ya mwaka hela yako ni ile ileMbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa