STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Umenipa idea nzuri, maana sipo Tz ila nilikua natafuta bank gani nzuri ya kuhifadhi hela yangu ikitokezea nikija niikute hiohioMimi siku hiz nasave equity bank hawana makato kabisa.. Hata baada ya mwaka hela yako ni ile ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi wanaotunza fedha zetu haoLazima utakuwa unawasingizia, hayo makato si ya nchi hii.
Nmb nao Ni wezi waliochangamkaKuna makato yakijpuuzi, Juzi nimefanya transaction kutoka Airtel kwenda Nmb makato yake 4000. Huu uwizi sasa
Hao tena vichenji ndo vinaibwa kama nini..Nmb nao Ni wezi waliochangamka
iyo simbank umelazimishwa kutumia?
Nilihamishaga laki toka nmb kwenda tigopesa makato 7000/=nilichoka kabisa na nikakoma.Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sana
Nilituma laki toka nmb kwenda tigopesa wakapita na 7000 mpk leo sina hamu.Ha ha ww umeshtuka leo.. Mm huduma zote za sim banking nimezidisable..
Gharama kubwa sana hata kutuma hela toka kwenye simu kwenda bank mbona utafurahi mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado huiakutana na tigo pia wanakusubiri[emoji23][emoji23]Nilihamishaga laki toka nmb kwenda tigopesa makato 7000/=nilichoka kabisa na nikakoma.
Na mabenki mengi wameongeza gharama ya kutoa hela bank Ili kuwalazimisha kutoa kwa sim banking au ATM au wakala...njia isiyo na Makati mengi ni ATM..kama hamna tafuta wakala ..huko mwingine wanakupiga saws saws..utajuta kuweka hela zako huko..hata Makato ya kutoa fedha kwenye mitandao ya simu ni kubwa mnoooNilishaacha kabisa kutumia sim banking. Kama ni akiba, bora niunge foleni kwa teller kuliko kuwapa pesa yangu kizembe hv.
Issue sio bank Gani ya kuhifadhi..tatizo ni akaunti Gani wafungua .? Mabenki karibu yote yana account maalum kwa ajili ya savings ..mfano Nbc Wana malengo account yaani unaweka hela zako bila Makato na KILA mwisho wa mwezi unapewa interestUmenipa idea nzuri, maana sipo Tz ila nilikua natafuta bank gani nzuri ya kuhifadhi hela yangu ikitokezea nikija niikute hiohio
au ata kama wanakata isiwe ile ya pande kubwa
Ni kama wanakomoa aiseeNilituma laki toka nmb kwenda tigopesa wakapita na 7000 mpk leo sina hamu.
Wahuni Sana haoSiaradibi
Sijaelewa